• JIJI LA MWANZA

    Hii ni moja ya sehemu muhimu katika jiji la Mwanza ambayo kwa namna moja ama nyingine imezidi kutoa muonekano mzuri hasa sehemmu za katikati ya jiji. ...

    SOMA ZAIDI
  • MT. AGOSTINO

    Moja ya vyuo vikuu vyenye heshima kubwa hapa nchini kipo jijini Mwanza na hii ni moja sura zenye muonekano wa kuvutia pindi unapofika chuoni hapo. ...

    SOMA ZAIDI
  • TANZANIA STARS

    Ni kipindi bora cha muziki wa dansi nchini kinachorushwa na Radio Free Africa, yes na huu ni ukurasa unaobeba kipindi hiki katika mtandao wa kijamii wa Facebook. ...

    SOMA ZAIDI

Tuesday, April 1, 2014

MTUHUMIWA WIZI PIKIPIKI ACHOMWA MOTO

Kijana mmoja asiyefahamika jina ameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira wilayani Ilemela hivi leo huku akituhumiwa kuiba pikipiki kabla ya kuangukia mikononi mwa wananchi wenye hasira..Katika tukio hilo,jeshi la polisi limewataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi...

Sunday, March 30, 2014

alino piaza grand soliste


mimi ni mwanamuziki,si mwanasiasa

huku akijisifia kufuatia kualikwa na rais robert mugabe kufanya onyesho nchini zimbabwe katika harusi ya binti wa rais huyo,koffi olomide amesema uwezo wake mkubwa kimuziki ndo sababu ya kualikwa...mwamba huu kwa sasa unajivunia album ya abracadabra na singo ya mwaka 2013 yake na cyind iitwayo koffi central...

mashali kidedea

Thomas simba Mashali kulia ametwaa ubingwa wa ubingwa wa DUNIA IBF by unanimous decision dhidi ya kumchakaza Japhet Kaseba...hongera brother..

Saturday, March 29, 2014

BALLE DE MATCH ALBUM YA JB MPIANA SOOOOOOOOOOONNN

Taarifa rasmi kutoka ndani ya bendi ya WENGE BCBG chini ya mukulukulu JB MPIANA zinasema kwa uhakika kuwa albamu mpya ya BALLE DE MATCH ipo mbioni kutoka kwani kwa hivi sasa vinamaliziwa vitu vidogovidogo ambavyo hawajawa tayari kuvielezea..humo kuna baadhi ya vibao jb amemshirikisha PAPA WEMBA...album hii inakuja kuchukua nafasi ya ile ya zamani ya SOYONS SERIEUX iliyotisha na mitindo kama mpunda,telecomanndre ....kila la heri BINADAMU..

JKT MBWENI KUIBUKA KIDEDEA LEO?

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya netiboli ya klabu bingwa Afrika Mashariki JKT MBWENI leo inatarajiwa kuibuka mabingwa wa michuano hiyo baada ya kuifunga Prisons ya Uganda mabao 35-33.Timu hiyo itacheza na mabingwa watetezi NIC kutoka Uganda ambao waliibabajua Moict kutoka Kenya kwa mabao 49-32....KILA LA HERI JKT MBWENI..

VIWANJA BADO TATIZO SOKA LA VIJANA

LICHA ya kuwa na vipaji lukuki,bado tatizo la maeneo sahihi ya kucheza mpira kwa watoto ni tatizo.Vijana wengi wanapenda sana kucheza mpira na wana ndoto za kufika mbali hata hivyo ukosefu wa viwanja bado ni kikwazo kikubwa kwa vijana hao kufikia kiwango cha kuisaidia timu ya taifa.Watoto wengi wamekuwa wakilazimika kufunga safari ndefu ili kupata viwanja vizuri vya kuonyesha vipaji vyao.Mfano wa ukosefu wa viwanja ni jijini Mwanza ambapo blogi hii imeshuhudia michuano ya vijana chini ya miaka 17 ikichezwa katika viwanja vibovu kabisa ambavyo huhatarisha usalama wa afya za wachezaji vijana pindi wanapoumia..Makocha wa East Boys Amiri Yasini na Joki Dominic wa TSC wamebainisha hayo jijini Mwanza katika michuano hiyo..