JUMUIYA YA DARAJA FONDATION YAJITAMBULISHA ZANZIBAR.
Posted by Bernard James on 4:39 AM with No comments
Mkurugenzi mtendaji wa Daraja Fonndation Bi. Arsheen Dhalla yenye Makao
Makuu yake Canada akiitambulisha Jumuiya yao inayojishuhulisha na sekta
ya Afya, Elimu na Watoto mayatima katika hafla iliyofanyika Hoteli ya
Amore Mio Mjini Zanzibar.


Baadhi
ya watoto mayatima waliofika katika uzinduzi wa Jumuiya ya Daraja
Fonndation katika hafla iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.
Afisa
wa Afya wa Daraja Fonndation Bwa. Ahmed Said Suleiman akielezea jinsi
ya Jumuiya yao inavyofanya kazi zake hapa Zanzibar katika sherehe
iliyofanyika Hoteli ya Amore Mio Mjini Zanzibar.(Picha na Makame
Mshenga-Maelezo Zanzibar).
0 comments:
Post a Comment