MKUU WA MKOA AMFUKUZA MKANDARASI KATIKA MKOA WAKE
Posted by Bernard James on 4:35 AM with No comments

Mkuu wa mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya (kulia) akizungumza wakati akikagua jengo hilo la bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga wilayani Kalambo. Pembeni yake ni Mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Kalambo Issa Liyanga na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo Philbert Ngaponda.
PICHA NA RAMADHANI JUMA-AFISA HABARI WILAYA YA KALAMBO
Mkuu
wa mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya akizungumza wakati akikagua
jengo hilo la bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga
wilayani Kalambo. Kulia ni mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Sumbawanga
Vijijini ndugu Mtapima na katikati ni Mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya
Kalambo Issa Liyanga.PICHA NA RAMADHANI JUMA-AFISA HABARI WILAYA YA
KALAMBO

Mhandisi
wa ujenzi wa wilaya ya Kalambo Issa Liyanga akimuonesha kitu Mkuu wa
Mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya alipokagua jengo la bweni la
wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga wilayani Kalambo.
0 comments:
Post a Comment